Wateja
0
Orodha ya Wateja
Oda za Leo
0
zimeagizwa
Inasubiri
0
hazijawasilishwa
Mapato Ya Leo
0
TZS
๐
LEO โ Oda za Leo
โ๏ธ Safari za Asubuhi
Saa 3:00 Asubuhi โ Saa 6:00 Mchana ยท 9:00 AM โ 12:00 PM
Hakuna oda za asubuhi
๐ Safari za Mchana
Saa 8:00 Mchana โ Saa 11:00 Jioni ยท 2:00 PM โ 5:00 PM
Hakuna oda za mchana
๐ KESHO โ Oda za Kesho
0
Hakuna oda za kesho bado
๐ฎ ZIJAZO โ Oda Zijazo
0
Hakuna oda zijazo
๐ก๏ธ Sera ya Kulinda Madereva
Mazungumzo ya mapunguzo ya bei ni kati ya Mteja na DarSupply peke yake. Mapato ya dereva yanalindwa daima na hayabadiliki โ 75% ya kila safari inakwenda kwa dereva kabla ya punguzo lolote.
JTatu
JNne
JTano
Alh
Ij
JMosi
JPili
๐ MUHTASARI WA LEO
Safari za Asubuhi
0
Safari za Mchana
0
Imewasilishwa
0
Mapato DarSupply
0 TZS
๐จ Wateja
Hakuna Wateja Bado. Ongeza hoteli, guesthouse, mkahawa au duka.
๐ฆ Oda Zote
Hakuna Oda Bado
๐ Oda Mpya
Oda zilizowasilishwa hivi punde ambazo bado hazijapangiwa dereva.
Hakuna Oda Mpya
๐ Jukumu La Madereva
Omba usafiri wa bidhaa zako
๐ Oda Mpya ya Usafiri
๐ Maombi ya Hivi Karibuni
Hakuna Oda Bado
๐ Madereva
Bado hakuna madereva. Ongeza hadi madereva 5.
๐งฎ Kikokotoo cha Bili
๐ Sera ya DarSupply
Mazungumzo ya mapunguzo ya bei ni kati ya Mteja na DarSupply peke yake. Mapato ya dereva yanalindwa daima โ 75% ya kila safari inakwenda kwa dereva kabla ya punguzo lolote.
๐ JINSI YA KUTUMIA HII APP
๐ Dashibodi
Ukurasa wa nyumbani. Unaonyesha wateja wote, oda za leo, zinazosubiri kupelekwa, na mapato ya leo. Safari za Asubuhi (Saa 3:00 AsubuhiโSaa 6:00 Mchana ยท 9:00 AMโ12:00 PM) na Mchana (Saa 8:00 MchanaโSaa 11:00 Jioni ยท 2:00 PMโ5:00 PM) zimeonyeshwa wazi. Tumia ODA MPYA HARAKA kuunda oda haraka bila kwenda mbali.
๐ Oda Mpya
Biashara au mteja anajaza fomu hii kuomba usafiri wa mzigo. Jaza: mteja, tarehe, wakati, mahali pa kuchukua, eneo la kupeleka, maelezo ya mzigo, na mawasiliano. Oda inaingia moja kwa moja kwenye list ya Oda Zote na inasubiri uthibitisho wa Dispacha.
๐จ Wateja
Ongeza na simamia biashara zote โ hoteli, guesthouse, mikahawa, na maduka. Bonyeza + Mteja โ jaza jina, eneo la Dar es Salaam, na umbali kutoka Kariakoo (KM). Kikokotoo kitatumia umbali huu kuhesabu bili. Unaweza kuongeza wateja wote unaohitaji.
๐ฆ Oda Zote
Kumbukumbu Zote Za Oda โ za sasa na zilizopita. Bonyeza + Oda Mpya โ chagua mteja, jaza maelezo ya mzigo, safari (Asubuhi/Mchana), tarehe, bili, na dereva. Oda ikamilika โ bonyeza Imewasilishwa. Mapato ya dereva (75%) na DarSupply (25%) yanakokotolewa kiotomatiki.
๐
Kalenda
Kalenda ya mwezi mzima. Siku zenye oda zinaonyeshwa kwa rangi. Bonyeza siku yoyote kuona safari zake za Asubuhi na Mchana. Tumia kalenda kupanga ratiba ya mwezi wote mapema.
๐งฎ Kikokotoo cha Bili
Hesabu bili ya safari kwa umbali (KM). Chagua mteja โ umbali wake unajazwa kiotomatiki. Matokeo yanaonyesha: Bili ya Jumla, Dereva Anapata (75%), na DarSupply Inapata (25%). Tumia matokeo haya kuunda oda sahihi.
โ๏ธ Mipangilio
Pakua Nakala โ Ipe jina faili lako, hifadhi kwenye simu au kompyuta yako. Rejesha Nakala โ chagua faili uliloihifadhi. Hifadhi nakala kila wiki. Usifute kumbukumbu za browser bila nakala โ wateja, oda, na madereva vitapotea kabisa.
๐ก๏ธ Sera ya Wateja na Madereva
SAA ZA KAZI: Wateja na biashara zote za DarSupply hazistahili kuingia mahusiano ya kitaaluma ya moja kwa moja na madereva wa DarSupply wakati wa saa za kazi. Usafiri wote rasmi unapita kupitia mfumo wa DarSupply โ si kwa dereva binafsi. DarSupply ndiyo inayohusika na usalama wa mzigo wako.
BAADA YA SAA ZA KAZI: Madereva wetu ni watu huru. Maisha yao nje ya kazi ni yao wenyewe. Wanaweza kukutana na wateja, kuanzisha biashara za upande, kupata marafiki, au kuingia mahusiano yoyote wanayochagua โ hiyo ni haki yao ya kibinadamu. DarSupply haitaingiliana na maisha yao ya kibinafsi.
ONYO: Biashara yoyote inayofanywa kati ya mteja na dereva nje ya mfumo wa DarSupply โ baada ya saa za kazi โ inafanywa kwa hatari yao wenyewe. DarSupply haitahusika na hasara, migogoro, au matatizo yanayotokana na makubaliano ya kibinafsi.
BAADA YA SAA ZA KAZI: Madereva wetu ni watu huru. Maisha yao nje ya kazi ni yao wenyewe. Wanaweza kukutana na wateja, kuanzisha biashara za upande, kupata marafiki, au kuingia mahusiano yoyote wanayochagua โ hiyo ni haki yao ya kibinadamu. DarSupply haitaingiliana na maisha yao ya kibinafsi.
ONYO: Biashara yoyote inayofanywa kati ya mteja na dereva nje ya mfumo wa DarSupply โ baada ya saa za kazi โ inafanywa kwa hatari yao wenyewe. DarSupply haitahusika na hasara, migogoro, au matatizo yanayotokana na makubaliano ya kibinafsi.
โ๏ธ Mipangilio
โน๏ธ Maelezo ya App
App: DARSUPPLY
Toleo: 1.0
Imetayarishwa na: O'Nkosi Productions Universe
Haki zote zimehifadhiwa ยฉ 2026
๐พ Hifadhi Kumbukumbu
โ ๏ธ Eneo Hatari
Hii itafuta kumbukumbu zote. Haiwezi kurudishwa.
๐
Kalenda ya Oda
JTatu
JNne
JTano
Alh
Ij
JMosi
JPili
Chagua siku kuona oda